Endo stories · Endometriosis

Safari Yangu Na Endometriosis

Jina langu ni Esther Mbugua - Kimemia. Mimi ni mwandishi na mwanzilishi wa Yellow Endo Flower na The Yellow Flower Initiative. Mashirika haya mawili huelimisha na kuwawezesha wanawake, wasichana na wazazi wao juu ya afya ya hedhi. Kuligunduliwa kwamba nilikuwa na uugua ugonjwa wa Endometriosis nikiwa na miaka 19,hii ni baada ya kuteseka miaka sita… Continue reading Safari Yangu Na Endometriosis